09 January 2014

KITUO CHA BBC NCHINI UINGEREZA CHA MTAJA DIAMOND PLATNUMZ NI MSANII ATAKAE FANYA VIZURI SANA BARANI AFRICA MWAKA HUU (2014) ..SOMA ZAID HAPA

http://laivu.com/maraha/files/2013/04/diamond-platnumz-l.jpg
DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, BBC cha BBC Radio 1Xtra, DJ Edu, amemtaja Diamond Platnumz, miongoni mwa wasanii watano wenye dalili za kufanya vizuri barani Afrika mwaka 2014.

Sio Diamond Plutnumz Pekee aliyetawa bali wasanii wengine waliotabiriwa kufanya vizuri Afrika ni pamoja na Kaysha,(msanii wa DRC aishie Ufaransa), Wyre wa Kenya, Radio na Weasel wa Uganda na King James wa Rwanda.
Bonyeza hapa kumsikia DJ Edu akiwaelezea

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname