16 January 2014

Huyu ndie baba wa staa wa taarab mfalme mzee yussuf bofya hapa umtazame yussuf mwinyi

mfalme mzee yussuf akiwa {kushoto} na baba yake mzazi yussuf mwinyi mzee 
picha hii imepigwa na jahazi modern taarab media pale mzee yussuf  mwinyi alipo kuja kutazama show maalam kwa watu maalum wa mjini fuoni alipo zaliwa mfalme huyu wataarab hivyo basi akaoni arudi nyumbani kidogo kwenda kufungua mwaka na majirani zake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname