17 January 2014

HIZI NDIZO BIDHAA ZINAZOTOKANA NA BANGI..!! SOMA HAPA..


 

weed cookies
Tumekua tukiskia sifa za ajabu kuhusu Bangi, ajabu hakujawahi kutolewa ushahidi wa kitaalamu juu ya madhara ya bangi! Jamii imekuwa ikichukulia mtu mwenye kuvuta bangi kama mhalifu au mvunja sheria, lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya watu wanaovuta bangi ni watu watulivu na
wenye hekima sana, nawafahamu watu wengi ambao ni high profile hapa kwetu Tanzania wanaotumia huu mmea, wanasiasa, wafanyabiashara, madaktari na watu wengine wenye mawazo panufu. Leo napenda tuangalie faida kadhaa za mmea huu.


  1. Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News)
  2. Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)
  3. Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.


Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.

Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.
Sabuni


Brownees






mayonnaise


Mafuta ya kupikia yanayotokana na bangi


lawalawa


Bibi akipenda moshi







Source: JF

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname