Leo anazaliwa msanii wa muziki wa
kizazi kipya Snura mushi a.k.a mamaa majanga katika kuifanikisha siku
hii ameamua kula na kunywa na watoto yatima wa kituo cha wakuwama
kilichopo sina maeneo ya meheda.tukiongea na snura amesema zawadi zote
anazopokea siku ya leoni mali ya watoto yatima kwahiyo amewaomba wote
wataotaka kumpa zawadi basi wampe zawadi ambayo ataweza kuwapa watoto
hao wanaishi katika maisha magumu. blog hii ya burudani inamtakia kila
la kheri snura mushi katika siku ya yakuzaliwa.
kuanzia mida ya saa 9 leo tutakuwa pale kwa ajili ya shughuri hizo
happybirthday snura mamaa majangaaaaaaaaaaaaaaa.
No comments:
Post a Comment