mmekuwa mkitumia bioil kutibu stretch marks ila ukweli ni kwamba bioil inasaidia kukinga zaidi kuliko kutibu!! Lakini unapotumia hii shea tena ile mbichi kabisa ukiichanganya na biol inafifiza sana michirizi..taratibuuuu!!! Wallahi jaribu uone!! #akclassicosmetics #teamakclassic
WASILIANA NAO KWA NAMBA
HII-0713 468393 or 0753 482909
No comments:
Post a Comment