Yalipita ni zile siku ambazo ili mwanamke aweze kupata mwanaume ilibidi awe mwanamke bora kweli kweli.
Siku hizi wanaume wengi weusi hupenda kuwa na wanawake ambao kwa namna moja ama nyingine mwanzoni walionekana kuwa wameshindikana nao huchukua jukumu la kuwabadilisha kuwa mademu wa ukweli.
Kanye West kwa Amber ni mfano tosha kuwa mmoja kati ya wanaume waliowapenda wasichana walioshindikana kuwafanya wawe wanawake haswa.
Kwa
kumalizia tu, kama ulikuwa hufahamu, mwanamuziki Eve E na Lady Gaga
kabla hawajawa wenye majina waliyonayo nao sasa pia nao walianzia kwenye
makah@ba.
Siku hizi wanaume wengi weusi hupenda kuwa na wanawake ambao kwa namna moja ama nyingine mwanzoni walionekana kuwa wameshindikana nao huchukua jukumu la kuwabadilisha kuwa mademu wa ukweli.
Kanye West kwa Amber ni mfano tosha kuwa mmoja kati ya wanaume waliowapenda wasichana walioshindikana kuwafanya wawe wanawake haswa.
Wiz Kalifa alizama kwenye map#nzi kwa Amber Rose naye aliweza kumbadilisha kuwa mwanamke anayeheshimika na jamii.
Rappa
Tyga alizama kwenye map#nzi na kah@ba maarufu aliyejulikana kama Black
Chyna, hii ni mara baada ya kumuona akiwa anafanya kazi yake kwenye
klabu moja ya usiku, kwa sasa wamechumbiana na wana mtoto mmoja.
Mfano
mwengine ni kama ilivyo kwa Amber ambaye amebadilika na kuwa mwanamke
anayejiheshimu tofauti na mwanzoni, kama unakumbuka aliwahi kuwa na
mahusiano na Kim na Kanye.
Hii
ni kuthibitisha kwamba hata wale wasichana ambao tunaona kwamba
wameshindikana kabisa kwenye jamii yetu inabidi tujue kwamba nao
wanaweza kubadilika na kupenda kweli.
Ishu
kuu hapa ni juu ya hawa marapa au wanaume kuzama kwenye map#nzi na hawa
wanawake, kuna mifano mingi ningeweza kukuwekea ila kwa hiki nnachotaka
kukifikisha hapa hii michache inatosha.
Nimekuwa
nikijiuliza nyota au maceleb wa kibongo kama wanaweza kufunguka na kuwa
wazi juu ya kutoka na makahaba, binafsi na labda wengi wetu tunajua
kwamba huwa wanakutana nao japo wengi wao hufanya kwa siri.
Je mwanaume wa Kitanzania anaweza kufunguka ya kuwa anatoka na kah@ba mpaka ifike hatua ya kumuoa?
Inawezekana
kwa sasa mahusiano yanayojilikana sana kumuhisisha kahaba na
mwanamuziki ni kati ya Wiz na Amber, naamini hii inatokana na ukweli
kuwa wanaendana.
Ikumbukwe
mwanzoni Wiz alikuwa anatoka na Natalie Nunn ambaye alionekana kwenye
video chafu ya Olu Mant@in na katika mchakato wa video hiyo ndipo
alipokutana na Amber Rose na ikawa hivyo.
Kanye
alianza, alionyesha Ulimwengu kwamba mtu yeyote anweza kuwa na
mahusiano ya kawaida hata akiwa na tofauti gani na ndipo mahusiano yake
na Amber Rose yalipoanza.Tyga, Black Chyna na Mtoto wao |
Black Chyna |
Siku hizi Black Chyna anavaa vitu vya thamani vinavyotengenezwa na wanamitindo wakubwa yote ni kwa hisani ya mp#nzi wake Tyga.
Black Chyna |
Labda
nikukumbushe kitu kingine ambacho inawezekana ulikuwa hukifahamu,
achana na Rihanna, mnamo mwaka 2009 kipindi ambacho Drake alikuwa
anatoka kwenye game, alikutana na kah@ba aitwaye Maliah Michel na kuzama
naye kwenye dimbi la map#nzi kiasi cha kufikia hatua Drake alindika
wimbo kumzungumzia msichana huyo.
Licha
ya map#nzi yake kwa Riri, bado Drake alikuwa anaenda kupitia mlango wa
nyuma kwa kah@ba huyo, inasemekena kwamba nyimbo nyingi za Drake
zinazozungumzia kuumizwa kimap#nzi zimekuwa zikimlenga msichana huyo.
Drake na Maliah Michel |
Eve E |
No comments:
Post a Comment