12 January 2014

HATARI..TANZANIA INAELEKEA WAPI ?..WADADA WA UKELEWE WAOANA KATIKA NDOA YA JINSIA MOJA...ANGALIA VIDEO

Hiki ndio kilichotokea mkoani Mwanza katika visiwa vya ukerewe ambapo walikuwa wakifungisha ndoa
ya jinsia moja kama inavyo oneshwa katika video hapo chini.Tanzania inaenda wapi jaman.....................
 Picha 1: Hapa walikuwa wanajiandaa kucheza ngoma ya asili ya kikerewe
                                       tazama hapa video hiyoooo...laana tupu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname