11 January 2014

HATARIII....‘Mijimama’ inavyoingiza waosha kucha, miguu katika hatari ya kuambukizwa VVU

Biashara hii inazidi kukua huku pia huduma zinazotolewa zikizidi kuongezeka kila kukicha, ambapo mara nyingi wanaotengeneza kucha, hujihusisha na usuguaji wa miguu, uchoraji wa tattoo ukandaji wa mwili (massage)na nyingine zinazofana na hizo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname