17 January 2014

BAADA YA KUMKUFURU SANA MUNGU, KANYE WEST SASA AAMUA KUJITOA KATIKA UFALME WA MUNGU NA KUANZISHA DINI YAKE ANAYO IITA YEEZIANITY,,,,,LAANA HIZI!!!


yeezus
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity .  Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya  nickname yake ya Ye na jina la  Jesus. Tayari kuna
website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii alisema ““Kanye West is the most
honest person in our culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press gives it this negative spin all the time”
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname