11 January 2014

Angalia; Hili ndio gari jipya analosukuma Mwana FA.






Kiukweli muziki wetu hapa Bongo unakua kila siku na hadi sasa tunaona wanamuziki wetu wakiwa wanaendesha magari mazuri ya kifahari kupitia jasho lao la muziki...Hivi karibuni msanii maarufu kwa jina la Mwana Falsafa #Mwana F.A amevuta bonge moja la mkoko ambalo alilipost katika acount yake yainstagram ambayo alikuwa akitoa support biashara ya mwanamuziki mwenzie Jaffarai ambae anamiliki sehemu ya kisasa ya kuoshea magari..na zifuatazo ndo picha za mkoko huo; -

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname