23 December 2013

OKWI ASHUSHIWA MADONGO NA KABURU WA SIMBA..!!! SOMA ZAIDI HAPA



Ukitaza picha hio unaweza kukisia kwamba walikuwa wanazungumza nini?...


Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ leo amemuonyesha Emmanuel Okwi fulana yenye maandishi yanayomnanga.

Kaburu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa Simba kabla ya kujiuzulu miezi kadhaa iliyopita, alimuonyesha Okwi jezi hiyo aliyokuwa amevaa.

Jezi hiyo ilikuwa imeandikwa, “I always remember Mafisango, who is Okwi?” (Kila mara namkumbuka Mafisango, kwani Okwi ndiyo nani?).

Okwi alipokwenda kuwasalimia upande wa benchi la Simba, Kaburu alimuonyesha Okwi maandishi hayo, akaonyesha kushtuka lakini baadaye wakakumbatiana.
Okwi alikuwa katika kikosi kilichoifunga Yanga mabao 5-0 pamoja na Mutesa Mafisango ambaye alifariki dunia wiki chache baadaye kwa ajali ya gari jijini Dar

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname