24 December 2013

Mshindi wa TPF4, Davis Ntare afulia, maisha ya Nairobi yambakiza mifuko mitupu

Mshindi wa Tusker Project Fame msimu wa nne Davis Ntare yuko broke na amelaumu maisha ya Nairobi yamemmaliza. Davis aliusema ukweli huo kwa mtandao Standard Media News, kuwa milioni 5 za Kenya alizoshinda zilishaisha siku nyingi.
"Maisha ya Nairobi yalikuwa kasi sana kwangu. Nilipanga nyumba huko Hurlingham na kutumia pesa na wasichana warembo," alisema Davis.  

Bahati mbaya kwa Davis tangu awe mshindi wa TPF hajawahi kutoa wimbo uliohit.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname