06 November 2013

ANGALIA POST YA KISWAHILI ALIYOWEKA OPRAH WINFREY KATIKA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM



Mtangazaji Maarufu Kutoka Marekani Oprah Winfrey ameonyesha kuikubali lugha ya Kiswahili baada ya kupost Picha Akiwa ameandaa Chai kwa ajili ya kiburudisho cha  siku ya juma pili. Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Insta Gram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY  WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai na tabasam kubwa kabisa
wpid-IMG_20131103_211516.jpg
Haya ndio maneno ya Oprah aliyopost Instagram Oprah Aliwahi kutembelea Tanzania katika Mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata Kifungua kinywa kati kati ya Mbuga, huenda huko ndipo alipopata neno CHAI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname