04 October 2013

VIWANJA VINAUZWA MOROGORO BEI NAFUU SANA

Viwanja ninauzwa Vipo Manispaa ya Morogoro Eneo la Mizani barabara ya Kwenda Dodoma.Bei ni nafuu sana. Vipo Karibu na barabara Kuu y a Morogoro Dodoma.Maji yapo karibu.Umeme upo karibu.Vipo Karibu na Shule.Wahi sasa
 Viwanja vimeshapimwa ni halali.Ukubwa wa kila kiwanja.Cha kwanza kina ukubwa wa 879.818Sq m (20 x43 )
Na Kingine kina ukubwa wa 889.072 Sq m (20 x 44)
Wasiliana nasi kwa simu namba  0713268311 au 0714209047


Baada ya Maelewano Taratibu zote za manunuzi na makabidhiano  zitamalizikia katika Manispaa ya Morogoro Kitengo cha ardhi
.Wahi sasa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname