25 October 2013

MWENYEKITI WA CCM MOROGORO AWATAKA WATANZANIA KUCHANGIA ELIMU

Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris  akiangalia Maonyesho yaliondaliwa na wanafunzi wa  shule ya sekondari ya Kihonda Mkoani morogoro wakati wa Mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris Akiongozana na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya kihonda 


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris

Mgeni rasmi akipewa maelekezo kwenye kambi ya skauti
Wazazi waliojitokeza katika Mahafali ya shule ya sekondari Kihonda Mkoani Morogoro
Mwanafunzi wa Shule ya sekondari ya kihonda ambaye ni mwanachama cha skauti Tanzania akion yesha jiko linalotumika kipindi cha mafuriko

Wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari kihonda Walioagwa jana tayari kwa kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu kidato cha nne.
Wajumbe wa bodi na wageni waalikwa wakiwa meza kuu wakati wa mahafali hayo


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris akiwa meza kuu pamoja na wageni wengine






No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname