Msanii
wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa
kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha
za nyumba yake ambayo inakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni
moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa
ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment