Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
http://www.thecitizen.co.tz/News/Rev...z/-/index.html
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi
ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa
umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo
hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa?
Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi
yanatokea katika mkoa wa Dsm.
No comments:
Post a Comment