Shilole
amefichua kuwa, role model wake katika muziki kwa sasa ni nyota Lady
Gaga ambaye kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwake ni kujiachia pindi
anapokuwa jukwaani, na kuwaridhisha wale ambao wametoa pesa zao ili
kushuhudia burudani kutoka kwake.
Shilole pia amewataka mashabiki wake kukaa tayari na kolabo ambayo aliwaahidi kuwa atafanya na mwanamuziki Jennifer Lopez ambayo anatarajia kuikamilisha mwisho wa mwaka huu atakapokwenda tena ziarani Marekani.
Source: Vituko vya mtaa
No comments:
Post a Comment