17 September 2013

Rwanda yawarejesha WATANZANIA 70 waliokuwa wametimuliwa KIMAKOSA katika oparesheni kimbunga



Serikali ya nchi ya Rwanda imewarejesha watanzania 70 jamii ya wafugaji wa kabila la wahima na wazinza waliokamatwa kimakosa katika operesheni kimbunga inayoendelea nchini na kuwataka wananchi wake kuwa watulivu wakati kamati ya bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki ikishughulikia mgogoro uliopo kati ya rwanda na nchi ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname