04 September 2013

MWALIKO WA KUSHIRIKI KWENYE UTAFITI WA TIBA A SILIA.

KITAMBI  SASA  BASI
ONDOA  KITAMBI KWA  SIKU KUMI NA  NNE

SHIRIKI  KATIKA  UTAFITI  KUHUSU  UFANISI  WA  TIBA  ASILIA  NA  VYAKULA  LISHE   KATIKA  KUKABILIANA  NA  TATIZO  LA  VITAMBI, UNENE  NA  UZITO..

Unakabiliwa  na  tatizo  la  kitambi?  Unataka  kuondoa  kitambi  kwa  njia  asilia ? Unataka  kupunguza  uzito  na  unene ? Unataka  kuondoa  manyama  uzembe?
Kama  jibu  ni  ndio, basi  hii  ni  habari njema  sana  kwako. Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha   Utafiti  wa  Tiba  Asilia . Tunakualika  kushiriki  katika  utafiti   kuhusu  UFANISI  WA  TIBA  ASILIA  KATIKA  KUKABILIANA  NA  TATIZO  LA  VITAMBI, UNENE, & UZITO  KUPITA  KIASI.


FAIDA  ZA  KUSHIRIKI  KATIKA  UTAFITI  HUU:
Faida  za  kushiriki  kwenye  utafiti  huu  ni  pamoja:
·       Kupatiwa  dawa  ya  asili  ya  kuondoa  kitambi, kupunguza  uzito  na  unene  au  vyote  kwa   pamoja , pamoja   na  kitabu  cha  diet  ya  kupunguza  mwili  na  uzito  kwa   PUNGUZO  LA  ASILIMIA  SIHIRINI  (20%)  ya  bei  kamili  ya  dawa .

·       Kila  atakaye  shiriki  katika  utafiti  huu, atapewa mwaliko  maalumu  wa  kuhudhuria  bure  kwenye  semina  maalumu  za  kila  mwezi  kuhusu  kuondoa  vitambi, unene  na  uzito   kwa  kutumia  dawa  asilia   na  vyakula  lishe ambazo  zinaandaliwa  na  kituo  chetu   chini  ya  Mradi  wa  Flatbelly   Project  wenye  kauli mbiu  flatbelly  Is  Sexy!


·       UHAKIKA  WA  KUONDOA  KITAMBI, KUFANYA  TUMBO  LIWE  FLAT, KUPUNGUZA  UNENE  &  UZITO  KWA  ASILIMIA  MIA  MOJA: Kila  atakaye  shiriki  katika  utafiti  huu, atapewa  guarantee  ya  kupata  matokeo  anayo  yahitaji, iwe  ni  kuondoa  kitambi, kupunguza  tumbo  kabisa  na  kulifanya kuwa  flat, kupunguza  unene na  uzito  au  vyote  kwa  pamoja  kwa  kutumia  tiba  asilia  na   vyakula  lishe. Sisi  kama  kituo  cha  utafiti  wa  tiba  asilia  na  vyakula dawa  tutahakikisha  kila  mtu  anaye shiriki  katika  utafiti  huu  anafikia  asilimia  mia  ya   malengo  ya  kupungua  aliyo  jiwekea.

JINSI  YA  KUSHIRIKI  KATIKA  UTAFITI  HUU : Unaweza  kushiriki  katika  utafiti  huu  kwa  kujaza    dodoso  yetu, kisha  kupatiwa  dawa   ya  kuondoa  kitambi, au  ya  kupunguza  unene  na  uzito(mwili mzima )  pamoja  na   kitabu  cha  diet (lishe)  ya  kupungua  kwa   nusu  gharama  ya  bei  ya  dawa . Bei  ya kawaida  ya  dawa  hii  ni  shilingi  ELFU  HAMSINI  lakini  kwa  wewe  unaye  shiriki    katika  utafiti  huu  utapatiwa  dawa  hii  kwa  punguzo  la  asilimia  hamsini  ya  bei  kamili  ya  dawa, ambapo  utapatiwa  dawa  hii  kwa  shilingi  ELFU  ISHIRINI  NA  TANO   tu.
UTARATIBU  WA  KUSHIRIKI  KATIKA  UTAFITI  HUU :  Utaratibu  wa  kushiriki  katika  utafiti  huu   upo  kama  ifuatavyo :
i.                    Kuomba  kushiriki  kwenye  utafiti  huu. Unaweza  kuomba  kushiriki  kwenye  utafiti  huu  kwa  kutuandikia   kwenye  barua  pepe  yetu  ambayo  ni: 
neemaherbalist@gmail.com     au  kutupigia  simu  0766538384  au  0767010756  ukiomba  kushiriki  katika  utafiti  huu.

ii.                Kujaza  dodoso  ya  utafiti  huu  ambapo  utaweka  taarifa  zako  kuhusiana  na  urefu  wako, uzito  wako, unene  na  kitambi  pamoja  na   jambo  unalolitaka mfano; kupunguza  kitambi pekee  na  kulitengeneza  tumbo  kulifanya  kuwa  flat,  au kupunguza  kitambi, unene  na  uzito kwa  pamoja.

iii.              Baada  ya  hapo utapatiwa  dawa  na  kitabu  pamoja  na  maelekezo  mengine  ya muhimu  kama  vile   ratiba  ya  kushiriki  kwenye  semina  maalumu  kuhusu  kuondoa  vitambi, na  kupunguza  uzito,& unene  kwa  njia  ya  dawa  asilia  na  vyakula  dawa

iv.              Baada  ya  kumaliza    kutumia  dawa  pamoja  na diet , tutarejea  kwako  kwa  ajili  ya  kuchukua  taarifa  za  matokeo  ya  dawa  yetu.

v.                 Taarifa  zako  zitatumika  katika   ripoti  ya  matokeo  ya  utafiti  wetu  itakayo  tolewa   mwezi  Januari 2014.


Kama  una  tatizo  la  kitambi, unene, na  au  uzito, na  unataka  kushiriki  katika  utafiti  huu, wasiliana  nasi  kwa  simu  ; 0766538384  AU  0767010756  AU  tuandikie  barua  pepe
neemaherbalist@gmail.com    AU  Tutembelee  katika  ofisi zetu  zilizopo  jijini  Dar  Es  salaam, katika  eneo  la CHANGANYIKENI  lilipo  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.

Kwa  maelezo  zaidi  kuhusu  huduma  za  Neema  Herbalist, tembelea

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname