28 September 2013

KWELI NICK MINAJ....KACHANGANYIKIWA ATEMBEA HUKU AKIWA MAZIWA NJE" HAIKUWA BAHATI MBAYA ASEMA HUWA HAPEND KUVAA "BRAS"


Wiki hii Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama tulivyomzoea. N-2 Picha hizo pia Minaj mwenyewe alizishare Instagram kumaanisha haikuwa bahati mbaya, lakini kupitia kipindi cha Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’. N-3 N-5 N-4


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname