Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya
kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili
wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka
20 wote wawili wamekamatwa kwenye airport ya Lima nchini Peru wakijaribu
kusafirisha mzigo huo.
Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea.
Baada ya kukamatwa na polisi mabinti
hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa hilo la kujaribu
kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi sasa wapo
kwenye mikono ya polisi.
No comments:
Post a Comment