Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina
tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda ,
nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane
na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii imekuwa kwa miaka saba sasa , na
cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa
yaaani acha tu
kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala
sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na
boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri
unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia
sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba
litoke ?
UdakuSpecially.com

No comments:
Post a Comment