30 August 2013

HILI NDILO GAULI LA TSH. MILION 2 NA ZAIDI ALILO NUNUA LULU KWA AJILI YA UZINDUZI WA MUVI YAKE MPYA

clip_image001 
Juzi actress maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) alifanya shopping ya nguvu kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya Foolish Age ambao
unafanyika leo Mlimani City, Dar es salaam. Moja ya vitu alivyonunua Lulu ni gauni lenye thamani ya dola za kimarekani $1,350 ambalo lilikuwa ni order maalum na ameshukuru limekuja kwa wakati. Muigizaji huyo mwenye mvuto licha ya kutokuwa sokoni na filamu nyingi mwaka huu lakini bado anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali katika media na mitandao ya kijamii.
Pia alipata tuzo ya muigizaji bora wa kike wa filamu za kiswahili kutoka Zanzibar International Film Festival(ZIFF). Follow her on twitter LULU

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname