Tunafahamu jinsi Diva the Bawse anavyopenda watoto, hivyo huenda sasa
akawa anataka wake mwenyewe. Jana alitweet mambo kadhaa kuashiria kuwa
tayari ana kiumbe tumboni mwake.
“When you are pregnant, you went through a lot , sickness. Jhezus and its kinda boring,” aliandika.
Aliongeza tena, “Day by Day. Inshaallah,” na kisha kuandika, “I’m
grateful for what I have and I’m falling in love with it more and more
every day. God gift. I’m feeling the heartbeat. Feels good.”
Hata hivyo hii si mara ya kwanza kwa mtangazaji huyo wa Clouds FM kuandika suala kama hilo.
SOURCE: BONGO 5
SOURCE: BONGO 5
No comments:
Post a Comment