08 July 2013

Ndege ya Rais wa Somalia ‘yashika moto’

Ndege iliyokuwa inambeba rais wa Somalia, imelazimika kutua kwa dharura mjini Mogadishu baada ya moja ya mabawa yake kushika moto.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname