Katika kipindi cha Tuongee asbuhi Makamu mkuu wa chuo cha SAUT Father
Charles Kitima amesema kitendo cha bunge kuingilia Baraza la mitihani na kusema isahihishe
upya ni kuvunja sheria ya nchi. ....
Kitima amesema wanaosema mitihani
isahihishwe upya hawana vision ya nchi hii kwani wako Bungeni kupiga
madawati na kufundisha watoto matusi kwa hiyo hawana weledi wa kuongoza
nchi hii.
Makamu huyo ameongeza kwa kusema Rais wanamlaum bure kwa sababu kuna waziri wa elimu MPUMBAVU ... Amesema bunge letu linatumiwa vibaya na wabunge walio wengi kwa kupitisha kila kitu kinacho jali masilahi yao wakati wao watoto wao wako nje ya nchi,pia akaongezea kwa kusema nchi hii imekufa usalama hakuna elimu imekufa na watu wanatumia bunge vibaya. .

No comments:
Post a Comment