Wiki kadhaa
baada ya shirikisho la soka duniani kutuma ujumbe wake kuja kufuatilia
suala la uchaguzi mkuu wa TFF uliogubikwa na matukio kadhaa ya utata,
leo hii shirikisho hilo la soka duniani limetoa maamuzi
ya mchakato wote
wa uchaguzi mkuu wa TFF kuanza upya, kwa maana wale wagombea wote
waliokatwa wanaweza kurudi kwenye mchakato wa uchaguzi.Taarifa nilizonazo FIFA imeshatuma barua ya kuelezea uamuzi kwa TFF na muda mchache ujao TFF inatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo wa FIFA.
source - shafii dauda
No comments:
Post a Comment