
Baada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake inayoitwa
Nashukuru, sasa mwanamuziki
Recho kutoka
THT ameachia ngoma yake nyingine mpya ...
Recho ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la
''MWALI KIGEGO''...
Kuwa wa kwanza kuusikiliza wimbo huu na pia unaweza kudownload hapa chini
No comments:
Post a Comment