Mwaka 2013 ni mzuri kwa rapper Nay wa Mitego. Licha ya kuwa na hit
single hewani, Muziki Gani aliyomshirikisha Diamond, rapper huyo
amenunua ndinga mpya aina ya Mark X yenye thamani ya shilingi milioni
35. Kama hiyo haitoshi, hitmaker wa Nasema Nao, amejihami pia kwa
kununua bastola.
Nay ameshare picha hizo kwenye Instagram na Facebook ambapo miongini mwa
picha za gari lake ameandika, ‘My new car. Mark X, Zic z wat I nid.”
Mwaka huu Nay
ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.
ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.
No comments:
Post a Comment