Ni
wabunge machachari wa CHADEMA kuwa mwiba mkali kwa CCM hapo jana na
kuzua tafrani hasa pale naibu spika wa Bunge kuamuru Mbunge wa Singida
Mashariki mh. Tundu Lissu atolewe nje baada ya kuomba utaratibu wa spika
wakati mbunge nchemba Na baadae kumhoji Lissu kwanini anasimama na anaongea sana na iweje awe yeye tu, na kumwamulu atolewe nje na kugoma ndipo maamuzi hayo yakatolewa na spika wa bunge.
Source: Nipashe.
No comments:
Post a Comment