Rapper Chidi Benz, amempiga Cow Bama a,k,a Ngwea nje ya Ambassador Lounge
ikiyoko Mkapa tower, posta, usiku wa kuamkia leo.ugomvi huo ulitokea baada
ya Chidi
kumzingua Dully alipokua akiingia, ambapo mwisho wake aliamua
kuondoka.
Alipoondoka Dully Ngwea akamuuliza inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo
Chidi alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza
Ngwea, inasemekana Ngwea aliamua kukaa kimya lakini Chidi aliendelea kungea
kwa hasira na kusema "ndio nimemzingua kwani yeye nani" na kumbadilikia
Ngwea
No comments:
Post a Comment