26 February 2013

Newzzz....VITUO VIWILI VYA RADIO VYA FUNGIWA

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku Radio Clouds FM ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa faini katika kipindi cha mwezi mmoja

Comments system

Disqus Shortname