21 February 2013

HUZUNI....MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA



Fundi wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo. Picha na Geofrey Nyang’oro

Comments system

Disqus Shortname