BREAKING NEWZZZZZZZZ...ENEO LA SIDO MBEYA NA UPANDE WA BOHARI KUNAWAKA MOTO MKUBWA SASA!
ENEO
LA SOKO LA SIDO MOTO MKUBWA AMBAO UNAWAKA SASA HUKU CHANZO
CHA MOTO HUO HAKIJA FAHAMIKA MPAKA SASA. HATA HIVYO JUHUDI ZA KUZIMA
MOTO HUO ZINAFANYIKA SASA NA WATU WA ZIMA MOTO WAKISHIRIKIANA NA
WANANCHI.