| Hapa akipima uzito.... |
| Nikiwa na Dallas baada ya kufika Hopitalin.... |
| Kiukweli nilishindwa kujizuia kulia,kutokana na hali ya mama jinsi ilivyokuwa. Hata Dallas alipojaribu kunipa ushauri tufanye nini juu ya hali ya mama sikuweza kumsikia..... |
| Nampenda sana Mama yangu na katika hali nisiyopenda kumuona nayo ni akiwa analia, nami sikuwa na jinsi nilishindwa kujizuia... |
| Dallas akiwa na Mama katika hali ya huzuni.... |
| Wakati mwingine tatizo linapokupata,Fikra na mawazo huwaza mbali sana. Lakini hakuna jinsi yote ni mipango ya Mwenyezi Mungu namkabidhi yeye... |
| Licha ya kuwa tayari alikuwa ameshapata huduma na kuchomwa sindano, lakini bado aliendelea kutapika....na hapa yupo na Uncle Salum aliyemsindikiza... |
| Akiwa hoi baada ya kumaliza kutapika.... |