Do
you think you are beautiful/handsome, and sexy na una uwezo wa
kuwafanya watu washindwe kuhamisha macho yao mbele vioo vya TV zao?.
Kama umebarikiwa hizo sifa then msanii anayetengeneza
mkwanja mrefu zaidi kwa sasa hivi in Tzee music Industry Diamond Platinumz anakutafuta.
mkwanja mrefu zaidi kwa sasa hivi in Tzee music Industry Diamond Platinumz anakutafuta.
Siku ya tarehe 22 ya mwezi wa tisa kuanzia 5 asubuhi mpaka saa tisa katika mgahawa wa Lady Jay Dee – Nyumbani Lounge, Diamond Platnumz kwa kushirikiana na I-View Studios
watakuwa wanafanya Audition ya kutafuta vijana wa kiume na wa kike
wenye mvuto, wawe wenye kujua kucheza, smart kwa ajili ya kutokea kwenye
video mpya za Diamond atakayofanya na msanii mkubwa wa kimataifa hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment