17 July 2012

YANGA YAIFUNGA WAU EL SALAM 7-1 KATIKA KOMBE LA KAGAME

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza (kulia) akichuana na beki wa tmu ya Wau El Salam ya Sudan ya Kusini, Ismaul Mussa Juma wakati wa mchezo wa kundi C, kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-1.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname