Sehemu ya kilichojiri Kanisani kwa mchungaji Gwajima,siku ya jumapili ,
pale mchungaji huyo mashuhuri nchini alipokuwa akikanusha kuwa kuna mtu
mwenye asili ya Kenya ambaye alifika kanisani kwake kukiri na kutubu
dhambi ya kuhusika kwake katika utekwaji na uteswaji wa Dr. Ulimboka,
kama ambavyo jeshi la Polisi liliarifu hivi karibuni
No comments:
Post a Comment