30 April 2012

MLEGEZO WA KANYE WEST WATIA AIBU,BAADA YA SURUALI KUANZA KUDONDOKA

Wikiendi hii iliyopita imeona wapenzi tofauti wakitoka kushiriki matukio tofauti na wenza wao, na wakiwemo humo ni Kanye West na Mamsap Kim Kardashian.
Katika utofauti kidogo, wawili hao waliposhuka kwenye mdinga wao na kuelekea kuingia kutafuta msosi kwenye restaurant huko New York, Kanye West aipata hitilafu kidogo na Swagga pale ambapo suruali zilitaka kumshuka kisa mlegezo uliozidi

CHANZO -MITUPIO INC

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname