26 April 2012

ANGALIA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MUUNGANO

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akipunga mkono kusalimia wananchi wakati akiingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais na amiri jeshi mkuu akikagua gwaride leo asubuhi.Picha kutoka IKULU
chanzo -dar es salaam yetu blog


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname