23 April 2012

ANGALIA LULU ALIVYOPANDISHWA KIZIMBANI LEO AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLICE

 
Mshatkiwa Elizabeth Michael (17), ' Lulu'  akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo  ilikuja kwa ajili ya kutajwa.  Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo  hivyo kesi hiyo  itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.


 

 SOURCE- JESTINA GEORGE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname