02 January 2012

T.I.D na P-Funky wagawa pesa kwa mashabiki.

KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA MSANII TID NA PRODUCER PFUNKY WALIJIKUTA WAKIGAWA PESA KA MASHABIKI  KWA KUWARUSHIA CHINI WAO WAKIWA JUKWAANI. HII ILITOKEA KATIKA VIWANJA VYA READERS WAKATI WA TAMASHA LA KUUAGA MWAKA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname