Showing posts with label JUMA NATURE. Show all posts
Showing posts with label JUMA NATURE. Show all posts

21 April 2013

JUMA NATURE ATIMULIWA EATV BAADA YA KUINGIA AKIWA AMEVAA KANDAMBILI


Msanii mkongwe na maarufu nchini, Juma Kassin Kiroboto, aka Nature, ameonyesha kukerwa na kitendo  cha  kutimuliwa  jana usiku katika kipindi cha burudani cha televishen inayotizamwa africa ya mashariki alipokuwa

01 April 2013

NATURE NDIYE MFALME WA TEMEKE AWAFUNIKA VIBAYA TEMBA,CHEGE NA KUNDI LAO TAZAMA ILIVYOKUWA.

Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao dhidi ya mahasimu wao, TMK Wanaume Family.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa TMK Halisi, wakati wote vidole juu...TATU BILA, hata walipopagawishwa na nyimbo kali za TMK Family.
Mhe. Temba akicheza na mashabiki katika mpambano huo wa kukata na shoka

17 September 2012

JUMA NATURE KUWANIA UBUNGE WA TEMEKE 2015


Sir Juma kassim kiloboto Nature sasa kuweka pembeni Music na kufanya kazi ya Siasa ili kuweza kuwania jimbo la Temeke 2015 ili kuweza kuendeleza harakati zaidi za jamii kwa ujumla na kufanikisha mambo mbalimbali niliweza kutaka kuonana na Nature ili kuweza kuongea nae ila juu ya harakati hizi Mda ndio ukawa tatizo ila mpya juu ya harakati za nature katika siasa ntawapeni zaidi.

Maoni yako juu ya Nature kutaka ubunge,

Comments system

Disqus Shortname