KIMENUKA!
Baada ya Miss Tanzania 2006 aliye pia nyota wa sinema za Bongo, Wema
Sepetu ‘Madam’ kunaswa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akidaiwa
kutumia umeme wa shirika hilo kinyemela, kuna
madai atapandishwa
kortini.
Taarifa
kutoka chanzo makini zinasema kuwa, mrembo huyo alifanya ‘manuva’ hayo
katika nyumba anayoishi, Kijitonyama, Dar hivyo kuweza kuliingizia
hasara shirika hilo hali ambayo shirika hilo haliwezi kumvumilia.

No comments:
Post a Comment