03 June 2015

DIVA WA CLOUDS FM KUFANYA SHINDANO KUTAFUTA WA KUZAA NAE.


Lovenes Love Diva mtangazaji wa kipindi cha ala za roho anaandaa shindano ukumbi wa Escspe one kumtafuta mwanaume wa kuzaa nae tu.Uzao huo unalenga kupata mtoto kama huyo juu pichani.Sifa za washiriki uwe na mwonekano kama Criss Brown,Shuhuli kitandani uiweze haswa,Kifuani uwe mithiri ya Floyd Mayweather,Kali kuliko zote uwe shababi na msafi.Mtoto wa Tanga katoa le tamko.Diva amekua akiachwa mara kwa mara haijajulikana sababu aliowahi kutoka nao ni Mo Racka handsom alie mliza,Zitto Kabwe na Gwamaka Kaiula GK.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname