
Kwa Mujibu wa Shudhuda wetu aliyoko Maeneo hayo ya Kaliakoo anasema
Chanzo cha vurugu hizo zinatokana na Wafanyabiashara Wadogodogo Maarufu
Wamachinga kudai mfanya Biashara mwenzao kuuliwa na Mgambo wa jiji.
Shuhuda huyo alizidi kusema Mfanya Biashara huyo aliuliwa na Mgambo kwa
kupigwa kipigo kikali na kumpelekea mauti, Wafanyabiashara hao wanadai
hali hiyo ni ishara ya kuchoshwa na Manyanyaso hayo wanayofanyiwa na
Mgambo hao na kuanzisha hali hiyo ya Fujo ambayo wanadai ni njia ya
kupeleka ujumbe kwa Serikali
No comments:
Post a Comment