23 December 2014

MTOTO WA ANNA TIBAIJUKA APANIC ..CHEKI ALICHO ANDIKA BAADA YA MAMA YAKE KUFUKUZWA UWAZIRI

"Naona binti wa aliyekuwa Waziri wa Ardhi nyumba na makazi Professor Anna Kajumlo Tibaijuka kapaniki na kumwaga lawama kwenye mtandao wa Twitter haamini kama mama so waziri tena na watatakiwa kuhama kwenye makazi ya mawaziri..............usipaniki dada yangu ‪#‎Kagemu‬ mama yangu hajawahi kuwa.hata mjumbe wa nyumba kumi ila maisha yanaendelea kama kawaida."

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname