22 December 2014

HIVI NDIVYO NDOA YA SHOGA SIR ELTON JOHN NA DAVID FURNISH ILIVYOFUNGWA

Sir Elton John weds David Furnish

 
December  21 mwaka huu ndio ilikuwa siku ya harusi ya staa wa muziki Sir Elton John pamoja na mumewe David Furnish ambapo walikaa zaidi ya miaka ya tisa katika mahusiano na mwanaume huyo bila ya kufunga ndoa

Mastaa kibao walifanikiwa kuhuthuria sharehe hiyo na wao walifurai na kufikia hatua ya kupost picha zake kwenye mtandao wa Instagram na kuweka alama ya hashtag #sharethelove.
Hizi ni baadhi ya picha zao katika sherehe hiyo enjoy
Sir Elton John weds David Furnish
Sir Elton John weds David Furnish
Sir Elton John weds David Furnish

Sir Elton John weds David Furnish

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname