Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Novemba 6, mwaka huu, majira ya saa 12 jioni, baada ya watoto wenzake aliokuwa akicheza nao kudai kuwa Nuru alichukuliwa na mtu aliyekuwa amevalia mavazi ya Kininja na kutokomea naye.WIMBI la utekaji na mauaji ya watoto katika Jiji la Dar bado ni tishio kufuatia wiki iliyopita, maiti ya mtoto Nuru Mohamed (7) mkazi wa Majohe Kichangani Wilaya ya Ilala, kuokotwa ikiwa imeharibika vibaya, tena baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa.
Baadhi ya mashuhuda waliokuwa eneo la tukio, walisema mwili wa mtoto huyo ulikutwa ukiwa hauna sehemu za siri, matiti, nyama ya kisogoni na makalio kukatwa na kuzibwa na gundi hali iliyoashiria ushirikina.
BABA MZAZI PICHANI ASIMULIA ILIVYOKUWA
“Nakumbuka siku ya kutoweka kwake, nilikua kazini nikapigiwa simu saa 12.45 jioni na kuelezwa Nuru ametekwa na mtu aliyevaa kininja, aliyemrubuni kwenda kumnunulia biskuti. “Nilielezwa kwamba muda mfupi baada ya kutoweka, watoto wenzake walipatwa na hofu na kumwambia mama yake kwamba kuna mtu kaondoka na marehemu hali iliyomfanya kuinuka na kuanza kufuatilia bila mafanikio.SOMA ZAIDI>>>
ReplyDeleteThe many designer watches inside Olympic Series have a very intelligent link with your Olympic Online games, much like the Speedmaster 5 Kitchen counter containing panerai replica sale a few subdials that will reveal the contour in the Olympic wedding rings; as well as your Omega Seamaster Globe Water Women enjoy, which in turn capabilities your Olympic wedding rings in their pre-owned. Omega's Olympic relationship features made it easier for bare cement their put in place having record along with replica prada the corporation may be one of several globe's most favored along with modern watchmakers. They have been the state wristwatch involving NASA, presented throughout renowned John Connect videos. These are your inventors in the 'co-axial escapement' purpose throughout wristwatches that will opened up a new emerging trend inside hardware watchmaking sector producing increased exactness involving rolex replica uk wristwatches. Which is the impression in the Omega company along with Omega designer watches. Staying genuine for you to their brand, Omega-derived through the Language of ancient greece token pertaining to achievements along with perfection- your company is an acronym for the pedestal involving good results in neuro-scientific horology. Right now, Omega designer watches are known for his or her topnotch good quality along with formally informed patterns. Considering that 1848 your company features collection a lot of documents throughout establishing designer watches which are very much ahead of time of their time. Your convention even now remains.